Dispenser ya Maji Moto na Baridi
Dispenser ya kusimama yenye kabati na kufuli ya usalama wa watoto.
All prices are in Tanzanian Shillings (TSh).
Dispenser ya kusimama yenye kabati na kufuli ya usalama wa watoto.
Hupika wali vizuri na kuuweka wa moto otomatiki.
Motor ya 600W kwa juisi, smoothie na supu.
Viwango 5 vya joto, kuyeyusha barafu na kipima muda cha kidijitali.
Soundbar nyembamba ya TV yenye besi nzito na Dolby audio.
Sauti ya kuzunguka kwa spika tano, HDMI ARC na besi kali.
Spika za Bluetooth na subwoofer, USB na redio ya FM.
Feni ya ndani na udhibiti wa joto la juu na chini. Bora kwa kuoka.
Jiko kubwa la sentimita 90 lenye oven pana, rotisserie na kipima muda.
Burner nne za gesi, oven ya umeme, grill na kuwasha otomatiki.
Hufua na kukamua kwa wakati mmoja. Nafuu na bora kwa familia kubwa.
Laini kwa nguo, motor ya inverter, mvuke na programu ya dakika 15.