Hifadhi chakula kingi na upate maji baridi na barafu papo hapo ukitumia Hisense RS528P5GB, friji kubwa ya milango miwili (Side-by-Side) ya lita 535. Hii ni model mbadala wa H700SMI-IDL.
Sifa kuu
- Uwezo wa lita 535
- Muundo wa Side-by-Side wenye milango miwili mikubwa
- Dispenser ya maji na barafu nje ya friji (Water Dispenser na Ice Maker)
- Teknolojia ya Inverter, inasaidia kupunguza matumizi ya umeme
- Milango ya kioo cheusi yenye muonekano wa kifahari
- Nafasi kubwa ya kuhifadhi kwa familia kubwa
Inafaa kwa
- Familia kubwa
- Nyumba za kisasa zenye jiko pana
- Guest houses na hoteli ndogo
- Wanaopenda maji baridi na barafu wakati wowote
Bei
Bei ni TSh 2,870,000. Bofya “Agiza kwa WhatsApp” kuthibitisha upatikanaji na kupanga usafirishaji.


