๐Ÿ“ž Call or WhatsApp: 0726 010 458 ยท We deliver across Tanzania
Globalstar Microwave Oven 20L C20MXP01 (Inapasha na Kuchoma)

Globalstar Microwave Oven 20L C20MXP01 (Inapasha na Kuchoma)

TSh 175,000

Pasha, yeyusha na choma chakula chako kwa haraka ukitumia Globalstar Microwave Oven ya lita 20 (model C20MXP01). Inapasha na pia inachoma, kwa hiyo unapata mapishi ya aina nyingi kwenye kifaa kimoja.

Sifa kuu

  • Uwezo wa lita 20
  • Inapasha na kuchoma (grill)
  • Defrost ya kuyeyusha vyakula vilivyogandishwa
  • Viwango 5 vya joto (Power Levels)
  • Kipima muda cha dakika 35
  • Vifundo viwili vya kawaida vya Power na Timer
  • Rangi nyeusi yenye muonekano wa kisasa

Inafaa kwa

  • Nyumbani na familia
  • Wanafunzi na vyumba vya kupangisha
  • Ofisi na migahawa midogo

Bei

Bei ni TSh 175,000. Bofya “Agiza kwa WhatsApp” kuthibitisha upatikanaji na kupanga usafirishaji.
Free Delivery ndani ya Dar es Salaam

๐Ÿ’ฌ Order on WhatsApp

Related Products

๐Ÿ’ฌ WhatsApp