๐Ÿ“ž Call or WhatsApp: 0726 010 458 ยท We deliver across Tanzania
Hisense Side-by-Side Fridge RS528P5GB 535L (Water Dispenser na Ice Maker)

Hisense Side-by-Side Fridge RS528P5GB 535L (Water Dispenser na Ice Maker)

TSh 2,870,000

Hifadhi chakula kingi na upate maji baridi na barafu papo hapo ukitumia Hisense RS528P5GB, friji kubwa ya milango miwili (Side-by-Side) ya lita 535. Hii ni model mbadala wa H700SMI-IDL.

Sifa kuu

  • Uwezo wa lita 535
  • Muundo wa Side-by-Side wenye milango miwili mikubwa
  • Dispenser ya maji na barafu nje ya friji (Water Dispenser na Ice Maker)
  • Teknolojia ya Inverter, inasaidia kupunguza matumizi ya umeme
  • Milango ya kioo cheusi yenye muonekano wa kifahari
  • Nafasi kubwa ya kuhifadhi kwa familia kubwa

Inafaa kwa

  • Familia kubwa
  • Nyumba za kisasa zenye jiko pana
  • Guest houses na hoteli ndogo
  • Wanaopenda maji baridi na barafu wakati wowote

Bei

Bei ni TSh 2,870,000. Bofya “Agiza kwa WhatsApp” kuthibitisha upatikanaji na kupanga usafirishaji.

๐Ÿ’ฌ Order on WhatsApp

Related Products

๐Ÿ’ฌ WhatsApp