Pasha na pika chakula chako kwa haraka ukitumia Vozen Microwave Oven ya lita 20. Ina nguvu ya 700W, viwango vitano vya joto na kipima muda, vyote vikidhibitiwa kwa vifundo viwili rahisi vya Power na Timer.
Sifa kuu
- Uwezo wa lita 20
- Nguvu ya 700W
- Viwango 5 vya joto (Power Levels)
- Kipima muda cha dakika 30
- Vifundo viwili vya kawaida vya Power na Timer, rahisi kutumia
- Muundo salama na wa kuaminika
- Rangi nyeupe yenye mlango wa kioo mweusi
Inafaa kwa
- Nyumbani na familia ndogo
- Wanafunzi na vyumba vya kupangisha
- Ofisi na maeneo ya mapumziko
- Kupasha chakula cha asubuhi na usiku
Bei
Bei ni TSh 165,000. Bofya “Agiza kwa WhatsApp” kuthibitisha upatikanaji na kupanga usafirishaji.
Free Delivery Ndani ya Dar es Salaam




