๐Ÿ“ž Call or WhatsApp: 0726 010 458 ยท We deliver across Tanzania

Vozen Water Dispenser VWD-1700: Maji Moto, Baridi na ya Kawaida

TSh 280,000

Pata maji safi, baridi na ya moto kila wakati ukitumia Vozen VWD-1700. Dispenser hii ya kisasa ya kusimama ina mifereji mitatu: maji baridi ya kuburudisha, maji ya moto papo hapo kwa chai, kahawa na vyakula vya haraka, na maji ya kawaida ya kunywa.

Sifa kuu

  • Maji baridi, maji ya moto na maji ya kawaida katika kifaa kimoja
  • Mwili wa chuma cha pua (stainless steel) imara na wa kudumu
  • Inatumia umeme kwa ufanisi, inasaidia kupunguza gharama
  • Muundo wa kusimama wenye kabati la chini
  • Rangi ya fedha (silver) yenye muonekano wa kisasa

Inafaa kwa

  • Nyumbani
  • Ofisini
  • Maduka na showrooms
  • Hoteli na migahawa

Bei na usafirishaji

Bei ni TSh 280,000. Usafirishaji ni bure ndani ya Dar es Salaam. Bofya “Agiza kwa WhatsApp” kuthibitisha upatikanaji na kupanga uwasilishaji.

๐Ÿ’ฌ Order on WhatsApp

Related Products

๐Ÿ’ฌ WhatsApp